1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Soka – Kipindi 07 – Piga, sio jirani yako

12 Aprili 2011
https://p.dw.com/p/RHKc

Matatizo, na matatizo zaidi! Lakini wacha tuone ikiwa marafiki zetu wanaweza kutatua angalau baadhi yao. Isitoshe, Jonathan anagundua ukweli wa uchungu, na mgeni mmoja wa ngazi ya anasababisha watu kuzikunja nyuso zao katika kliniki.