1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

SPD yasema "ndio" kwa serikali ya mseto

5 Machi 2018

Chama cha SPD ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Ujerumani kimesema wanachama wake wameidhinisha kujiunga katika serikali ya mseto ya Kansela Angela Merkel, jambo ambalo limekiondoa kisiki cha mwisho kilichokuwa mbele ya muhula wa nne wa kiongozi huyo. Tazama vidio.

https://p.dw.com/p/2ti1s