1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

STOCKHOLM: Vinu viwili vya kinyuklia vitagungwa Sweden.

4 Februari 2007
https://p.dw.com/p/CCVE

Vinu viwili vya kituo cha kinyuklia cha Forsmark nchini Sweden vitafungwa kutokana na wasiwasi kwamba ni hatari kwa usalama.

Kituo hicho ambacho kimekuweko tangu miaka ishirini na sita iliyopita kilifungwa kwa dharura mwezi Julai mwaka uliopita kwa muda wa miezi miwili.

Kituo cha Forsmark, kiasi kilomita mia moja kaskazini mwa Stockholm, kinatoa sudusi ya nguvu za umeme za Sweden.