1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taa za jua zapunguza makali ya umasikini Kenya

24 Oktoba 2011

Ingawa tatizo la upatikanaji wa nishati ya kudumu ni sugu barani Afrika, wakaazi wa mitaa ya mabanda jijini Nairobi, Kenya, wamefanikiwa kugundua njia rahisi, nyepesi na ya kudumu ya kujipatia umeme wa kuzalisha mwangaza

https://p.dw.com/p/Rsfr
Mtambo wa kukusanya mionzi na kuzalishia umeme wa jua.
Mtambo wa kukusanya mionzi na kuzalishia umeme wa jua.Picha: SolarWorld
Alfred Kiti ametembelea mitaa ya mabanda ya jijini Nairobi kujionea mwenyewe namna wakaazi wa huko wanavyotumia rasilimali ya kudumu ya jua kujizalishia umeme. Mtayarishaji: Alfred Kiti Mhariri: Josephat Charo