1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari. Asubuhi: 23.02.2019

Zainab Aziz
23 Februari 2019

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari asema usalama utaimarishwa kwenye uchaguzi unaofanyika Jumamosi. Rais wa Sudan atangaza hali ya hatari kwa kipindi cha mwaka mmoja. Marekani huenda ikamwekea Rais Maduro vikwazo vipya.

https://p.dw.com/p/3DwLt