1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 27.08.2021

Grace Kabogo
27 Agosti 2021

Rais wa Marekani, Joe Biden amesema operesheni ya kuwaondoa raia wa Marekani nchini Afghanistan haitokwamishwa na magaidi // Umoja wa Mataifa umeonya kwamba mzozo wa Ethiopia unasambaa nje ya Tigray // Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani barani Afrika WHO, Dokta Matshidiso Moeti amesema bara hilo limefanikiwa kuongeza mara tatu zaidi idadi ya watu waliochoma chanjo ya virusi vya corona

https://p.dw.com/p/3zXyX