1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 01.04.2016

V2 / S12S1 Aprili 2016

Rais wa China Xi Jinping na wa Marekani Barack Obama wazungumza pembezoni mwa mkutano wa kilele wa usalama wa kinyuklia// Uwanja wa ndege wa Brussels, Zeventem, upo tayari kuanza shughuli zake tena baada ya kutokea miripuko Machi 22// Na, mshukiwa mkuu wa mashambulizi ya mjini Paris Salah Abdelslam ahamishiwa Ufaransa kwa kufunguliwa mashitaka

https://p.dw.com/p/1INf9