1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi. 11.11.2019

Tatu Karema
11 Novemba 2019

Rais wa Bolivia Evo Morales atangaza kujiuzulu, maandamano kuhusiana na dhulma na chuki dhidi ya jamii ya kiislamu nchini Ufaransa yawavutia maelfu ya watu barabarani na polisi mmoja mjini Hong Kong ampiga risasi kifuani mwandamanaji mmoja .

https://p.dw.com/p/3SoMe