1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 25.10.2023

Josephat Charo
25 Oktoba 2023

Israel yasema imezima njama ya shambulizi la Hamas kupitia baharini. Polisi ya Ujerumani yamzuilia mwanamume mmoja aktika mji wa Duisburg kwa njama ya kupanga shambulizi. Na Jeshi la Mali lasema Umoja wa Mataifa uliharakisha kuondoka kambi za kaskazini mwa nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/4XzhL