1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 28.02.2021

V2 / S12S28 Februari 2021

Marekani yaidhinisha chanjo ya tatu kwa matumizi ya dharura. Myanmar yamfuta kazi balozi wake wa Umoja wa Mataifa. Wanafunzi na walimu waliotekwa nyara kaskazini mwa Nigeria waachiwa huru.

https://p.dw.com/p/3q1UG