1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za Asubuhi 14.04.2019

Lilian Mtono
14 Aprili 2019

Kiongozi mpya wa kijeshi nchini Sudan aapa kuuondoa utawala wa Bashir. Rais wa Ujerumani Frank Walter- Steinmeir ataraji Uingereza itaondoka kabla ya uchaguzi wa bunge la Ulaya.Taliban waanzisha mashambilizi mapya na kuwa pigo kwa mazungumzo ya amani.

https://p.dw.com/p/3Gjy1