1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi 20.08.2018

Zainab Aziz
20 Agosti 2018

serikali ya Italia yatishia kuwarejesha wakimbizi nchini Libya. Mji wa Lombok nchini Indonesia wakumbwa tena na matetemeko mawili makubwa ya ardhi. John Bolton mshauri wa masuala ya usalama wa Rais wa Marekani Donald Trump amekutana na waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mjini Jerusalem.

https://p.dw.com/p/33Oqz