1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Ulimwengu. Asubuhi tarehe 16.10.2021

V2 / S12S16 Oktoba 2021

VIDOKEZO: Polisi Uingereza kisa cha mbunge David Amess kuuawa ni kitendo cha kigaidi.// Kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS ladai ndilo lilifanya shambulizi msikitini Afghanistan na kuua watu wasiopungua 41.// Na Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Faustin Touadera atangaza usitishaji vita dhidi ya waasi ili kuruhusu mazungumzo ya amani.

https://p.dw.com/p/41ky8