1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taifa Stars kukwaana na Uganda Cranes kipute cha CHAN

Josephat Charo
22 Agosti 2022

Wekundu wa Msimbazi Simba waparamia kileleni mwa Ligi kuu Tanzania bara, huku timu ya taifa ya soka ya Tanzania Taifa stars ikijinoa kwa mechi ya kufuzu kwa michuano ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN. Sikiliza ripoti ya Sports Lady Naomi William kutoka Dar es Salaam. (Pichani)

https://p.dw.com/p/4FsQ4