1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Muziki

Tamasha la Muziki na Uwanaharakati

Sudi Mnette
10 Oktoba 2017

Tamasha kubwa la siku tano la muziki na harakati zake za kumkwamua Mwafrika limefanyika mjini Kampala Uganda. Pamoja na mambo mengine sikiliza kuhusu tamasha hilo lililopewa jina la "Your music, your voice" lililoandaliwa na wakfu wa Kijerumani Friedrich Ebert. Zaidi sikiliza kipindi karibuni.

https://p.dw.com/p/2lYyu