1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump atoka hospitali baada ya kutibiwa COVID-19

6 Oktoba 2020

Rais wa Marekani ameondoka hospitali baada ya kutibiwa COVID-19. Rais Trump amesema anajisikia vizuri sana. Hata hivyo haijajulikana atakaa karantini kwa muda gani. Awali alisema anatarajia kurejea kwenye kampeni hivi karibuni. #Kurunzi #COVID-19

https://p.dw.com/p/3jhzK