1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchafu bado kikwazo miji ya Afrika Mashariki

1 Aprili 2012

Moja ya changamoto kubwa zinazoikabili miji katika kanda ya Afrika Mashariki, ni uchafuzi wa mazingira, hasa kutokana kushindwa kusimamia kwa ufanisi suala zima la usafi.

https://p.dw.com/p/14Vwb
Takataka
TakatakaPicha: dapd

Ukiacha mji wa Kigali, ambao kwa kiasi fulani umefanikiwa kudhibiti uchafuzi wa mazingira hasa utupaji hovyo wa takataka, miji mingine kama vile Dar es Salaam, Nairobi, na Kampala bado ina safari ndefu ya kufikia kiwango cha usafi.

Msikilize Iddi Ismail Ssessanga katika makala hii ya Mtu na Mazingira leo, inazungumzia jitihada za kudhibiti uchafuzi wa mazingira katika miji ya Afrika Mashariki na changamoto zilizopo.

Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mtayarishaji: Iddi Ismail Ssessanga
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman