1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi Tanzania: Mahojiano na katibu mkuu wa chama cha TADEA

25 Agosti 2010

Nchini Tanzania wakati homa ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 31 ikipanda, miongoni mwa vyama vinavyojiandaa kwa uchaguzi huo ni vile vidogo vidogo vinavyoelekea kujitokeza zaidi huko visiwani Zanzibar.

https://p.dw.com/p/Ovvu

Miongoni mwa vyama hivyo ni kile cha TADEA ambacho hakikuwahi kuwa na mwakilishi si katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wala Baraza la Wawawakilishi huko Zanzibar. Safari hii TADEA kimemteua Katibu wake mkuu Bwana Juma Ali Khatibu kugombea Urais wa Zanzibar. Nimezungumza naye kwa njia ya simu hivi punde na kwanza anaelezea maandalizi kuelekea katika uchaguzi huu wa 2010.

Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Ali Khatib

Mhariri:M Abdul-Rahman