1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Udhalilishaji watoto kingono mjini Mombasa Kenya

Sylvia Mwehozi
4 Aprili 2019

Tatizo la udhalilishaji kingono dhidi ya watoto linazidi kuwa kubwa. Inaelezwa kuwa msichana 1 kati ya 10 wamedhalilishwa, duniani kote na katika kaunti za Kilifi na Mombasa tatizo hilo linashamiri. Jiunge na Fathiya Omar katika makala ya Mbiu ya Mnyonge akiangazia madhala yanayowakuta watoto.

https://p.dw.com/p/3GDgh