1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufaransa yafunga kambi ya Calais

26 Septemba 2016

Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, asema kambi ya wahamiaji ya Calais itafungwa kabla ya kipindi cha baridi kuanza. Colombia yatarajiwa kusaini mkataba wa amani kati ya waasi wa kundi la FARC na serikali. Na Waethiopia washinda mbio za marathon za mjini Berlin, Ujerumani. Papo kwa Papo 26.09.2016.

https://p.dw.com/p/2Qc51