1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Gulu ni shwari siku ya Uchaguzi

18 Februari 2011

Tukiwa bado tunauangalia uchaguzi mkuu nchini Uganda, sasa tunaelekea katika eneo la kaskazini mwa nchi hiyo, ambalo kwa zaidi ya miaka 20 limekuwa katika mapigano ya waasi wa kundi la Lord's Resistance Army-LRA.

https://p.dw.com/p/10JRG
Wananchi wa Uganda wapiga kura hii leo.Picha: DW/Schlindwein

Uchaguzi wa mwaka huu katika eneo hilo la kaskazini unafanyika kwa mara ya kwanza bila ya kuwepo kundi hilo la LRA. Hivi punde nilizungumza na Mwangalizi wa uchaguzi katika eneo la Gulu, Khalid Mussa ambaye anaanza kuelezea jinsi uchaguzi unavyofanyika kwa amani katika eneo hilo.

Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Khalid Mussa

Mhariri: Othman Miraji