1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda na Kenya zazindua kituo cha pamoja cha huduma za mipakani

Lilian Mtono
26 Februari 2018

Uganda na Kenya kwa pamoja wamefungua kituo rasmi cha huduma ya pamoja mipakani cha Busia. Kituo hicho kilichogharimu dola milioni 13, kinalenga kuimarisha miongoni mwa mambo mengine mahusiano baina ya mataifa hayo.

https://p.dw.com/p/2tMM1