1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani: Kasri ya Neuschwanstein

Zainab Aziz
2 Novemba 2023

Mengi yameandikwa na kusimuliwa juu ya kasri ya Neuschwanstein. Ni miongoni mwa makasri matatu yaliyojengwa na mfalme Ludwig wa Pili wa Bavaria wakati wa utawala wake katika karne ya 19.Leo majengo hayo yapo miongoni mwa sehemu za vivutio vikubwa vya kitalii nchini Ujerumani. Yapo mambo matano ya siri juu ya kasri hiyo ya Neuschwanstein.

https://p.dw.com/p/4acxB