1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yaicharaza Moroko 6-0 kombe la dunia la wanawake

Josephat Charo
24 Julai 2023

Ujerumani yaanza kwa kishindo mashindano ya kombe la dunia la wanawake nchini New Zealand na Australia. Yaibamiza Moroko 6-0 katika mechi yao ya ufunguzi. Bayern Munich yamtambulisha beki mpya raia wa Korea Kusini Kim Min.jae.

https://p.dw.com/p/4UK77