1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yatuma wanajeshi Ureno kusaidia kukabili COVID-19

Saleh Mwanamilongo
4 Februari 2021

Wizara ya ulinzi ya Ujerumani imetuma maafisa wa afya na vifaa vya matibabu nchini Ureno, ambako vyumba vya wagonjwa mahututi vimelemewa baada ya kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona.

https://p.dw.com/p/3otGo