1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujuwe ugonjwa wa magoti kujaa maji

24 Juni 2011

Tatizo la magoti kujaa maji linatokana na maji mengi kuwamo ndani ya goti lenyewe au eneo linalolizunguka, ambalo hulifanya goti litowe maji mengi ndani kwa ndani, baadhi ya wakati kwa muda mrefu sana.

https://p.dw.com/p/RVee
Chanjo ya watoto barani Afrika
Chanjo ya watoto barani AfrikaPicha: WorldVision

Grace Kabogo anazungumza na madaktari bingwa kupata ufafanuzi wa namna ambavyo ugonjwa wa magoti kujaa maji huanza, hukuwa, huathiri na zaidi namna unavyotibika.

Mtayarishaji/Msimulizi: Grace Kabogo

Mhariri: Othman Miraji