1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukatili wa kijinsia katika maeneo ya kazi bado upo.

Amina Mjahid
23 Julai 2019

Licha ya serikali ya Tanzania kuwa na mikakati ya kuhakikisha inatokomeza ukatili wa kijinsia na masuala ya rushwa ya ngono maeneo ya kazi bado kumekuwapo na changamoto kubwa katika jamii ya kuendelea kukumbwa na matukio hayo. Wanawake na maendeleo inaangalia hilo kwa jichola karibu.

https://p.dw.com/p/3McSG