1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ulimwengu wamlilia Pele wa Brazil

30 Desemba 2022

Kifo cha nyota wa zamani wa soka Pele kimeleta majonzi kote duniani. Salamu za rambirambi zinaendelea kutumwa tangu na wanasiasa, wanamichezo, wanamuziki na mashabiki wa soka kutoka kila kona ya dunia.

https://p.dw.com/p/4LaQy
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio