Unajuwa maana ngapi za kitenzi 'piga' kwenye Kiswahili?
Utamaduni
Mohammed Khelef
26 Julai 2018
Je, unajuwa maana ngapi za namna neno 'piga' linavyotumika kwenye Kiswahili? Mohammed Khelef anazungumza na Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere cha Dar es Salaam, Tanzania, Ahmed Sovu, ambaye anafanya utafiti juu ya vile Waswahili walitumiavyo neno hilo.