1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unazingatia nini, pindi unapochagua mahali pa kuishi?

Sylvia Mwehozi
16 Januari 2019

Huwa unazingatia nini pindi unapochagua mahala pa kuishi? Je maeneo ya mijini, mambo gani gani yanakuvutia, je ni maeneo yaliyo na shughuli nyingi?au unapendelea sehemu tulivu. Bruce Amani analizungumzia hilo katika Vijana MchakaMchaka, karibu umsikilize.

https://p.dw.com/p/3BfPw