1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Union Berlin kileleni mwa Bundesliga

Josephat Charo
12 Septemba 2022

Union Berlin waparamia kileleni mwa ligi ya Bundesliga kwa mara ya kwanza. Mabingwa Bayern walazimishwa sare na Stuttgart nyumbani Allianz Arena. Kibarua cha kocha wa Bochum Thomas Reis chaota mbawa! Katik la Liga Real Madrid yaipiga kumbo Mallorca na kupanda kileleni.

https://p.dw.com/p/4GkGy