1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unyanyasaji wa kingono Bongo Movie

Saumu Mwasimba13 Novemba 2017

Kipindin cha Utamaduni na Sanaa kinapiga kambi katika Bongo Movie, yaani sekta ya filamu Tanzania. Kinajikita huko kutokana na kilichoibuka huko Marekani hivi karibuni katika sekta ya filamu ya Hollywood, kuhusiana na kashfa ya unyanyasaji wa kingono unaofanywa na wenye nguvu wanaoishikilia sekta hiyo.

https://p.dw.com/p/2nVsy