1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani kujitenga Kenya na kuunda taifa jipya?

24 Agosti 2017

Mshauri wa kiuchumi wa Muungano wa upinzani NASA, David Ndii, ameibua mjadala mkali baada ya kusema katika mahojiano ya televisheni kuwa wakati umewadia kwa sehemu nyengine za Kenya kujitenga.

https://p.dw.com/p/2ikIw
Wapinzani Kenya
Picha: picture-alliance/dpa/B. Curtis

J2 24.08 Kenya: Secession calls - MP3-Stereo

Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Githu Muigai, amekemea vikali maoni hayo akisema yataligawa taifa hata zaidi kwa misingi ya kikabila. Caro Robi amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Herman Manyora, na kwanza amemuuliza mtizamo wake kuhusu suala hilo la baadhi ya maeneo kujitenga ili kujitawala.