1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Urusi na Belarus zaanza Luteka kubwa ya Kijeshi

Saumu Mwasimba
14 Septemba 2017

Luteka ya kijeshi ya Urusi na Belarus inayofanyika katika mipaka ya nchi za Ulaya Mashariki imezua khofu,Rais Jacob Zuma akimbilia mahakama kuu ya rufaa kujaribu kuzuia mashtaka ya rushwa yanayomuandama,Katibu mkuu wa UN Antonio Guterres alaani hatua za kijeshi za Myanmar dhidi ya Rohingya

https://p.dw.com/p/2jzgX