1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utandawazi – Kipindi 10 – Matatizo ya Utangamano

25 Mei 2011

Ni matatizo gani yanayowakumba Waafrika wanapojaribu kutangamana Ujerumani? Tembelea pamoja nasi duka la Kiafrika mjini Bonn, ambako Waafrika wengi waishio karibu na duka hilo hukutana kupiga gumzo.

https://p.dw.com/p/RHfv