1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utengenezaji wa meko kwa njia ya ufinyanzi

2 Septemba 2020

Ufinyanzi wa vyungu ni sanaa ya zamani. Hata hivyo ufinyanzi bado unatumika na si kufinyanga vyungu tu bali pia kutengeneza meko au majiko ambayo yanahifadhi nishati. Mama kwa jina Marry Gilbert Shayo anaendeleza sanaa hiyo mjini Dar es Salaam Tanzania. Ahmad Juma anakufahamisha zaidi kwenye Kurunzi ya Wanawake.

https://p.dw.com/p/3htwq