1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uteuzi wa Odinga katika AU una maana gani kuhusu siasa zake?

Admin.WagnerD22 Oktoba 2018

Raila Odinga ameteuliwa kuwa mwakilishi mwandamizi wa Umoja wa Afrika kwenye masuala ya maendeleo ya miundombinu.

https://p.dw.com/p/36wbA
Raila Odinga
Picha: Getty Images/AFP/Y. Chiba

Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya, NASA, Raila Odinga ameteuliwa kuwa mwakilishi mwandamizi wa Umoja wa Afrika kwenye masuala ya maendeleo ya miundombinu.

Miongoni mwa majukumu mengi yatakayomkabili, Odinga anataraji kuhamasisha uungwaji mkono wa kisiasa katika masuala ya miundombinu miongoni mwa mataifa wanachama.

Kuhusu uteuzi huu na mengineyo Lilian Mtono amezungumza na mchambuzi wa siasa aliyeko Nairobi Kenya, Profesa Chacha Nyaigoti Chacha, ambaye kwanza anauzungumzia uteuzi huo kwa ujumla.

Mahojiano kuhusu uteuzi wa Odinga katika AU

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Mwandishi: Lilian Mtono.

Mhariri:Josephat Charo