1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vidio: Adha za usafiri kwa wazee kwenye Ziwa Viktoria

Mohammed Khelef
2 Oktoba 2018

Kawaida usafiri wa majini huwa mgumu sana katika maeneo mengi nchini Tanzania, lakini ugumu huu huongezeka maradufu pale inapotokezea kuwa msafiri wenyewe ni mzee - mtu wa umri mkubwa ambaye haviwezi vikumbo na kikiri za usafiri huu.

https://p.dw.com/p/35rid