1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maisha

Vijana Mchakamchaka: Je, unaitumiaje simu yako?

19 Februari 2024

Unaweza kuchukulia kirahisi, lakini hili ni suali gumu sana kujibika kwa ufasaha kwa kijana, ambaye leo amejikuta akiigeuza simu yake kuwa sehemu kubwa na muhimu ya maisha yake. Je, wewe unaitumiaje simu yako? Ungana na Selina Mdemu akizungumzia matumizi ya simu kwa vijana.

https://p.dw.com/p/4Xeos