1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na mchezo wa masumbwi, je unakutoa kimaisha?

Sylvia Mwehozi
4 Aprili 2019

Katika kila mitaa ni nadra kukosa sehemu ya kuinua vyuma kwa ajili ya mazoezi ya mwili kwa wanaume. Ni jambo lilovutia wanaume wengi kuanzia vijana hadi watu wazima lakini kwa juhudi hizi zote ni vijana wa kuhesabika tu utakaowaona wanajihusisha na mchezo wa ndondi. Karibu katika makala yako ya Vijana Mchakamchaka jina langu ni Faiz Musa.

https://p.dw.com/p/3GDgk