1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wa Tanzania wazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa

Amina Mjahid
27 Septemba 2019

Katika Makala ya Vijana Tugutuke utawasikia vijana wakijadiliana na muandishi wa DW Kiswahili Anwary Mkama juu ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao nchini Tanzania, kujua je ni kwa namna gani vijana wanamuamko wa kushiriki uchaguzi huu, na je majukumu ya viongozi wa serikali za mitaa ni yapi hasa?

https://p.dw.com/p/3QMX3