1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Virusi vya Corona vinaendelea kuisumbua Ujerumani

5 Novemba 2020

Mapema wiki hii Ujerumani ilianza kufuata masharti mapya na vizuizi vinavyolenga kukabiliana na maambukizi ya corona. Ni katika wimbi la pili la COVID 19 linaloendelea kuisumbua Ulaya. Hali ya corona ipo vipi hapo ulipo?

https://p.dw.com/p/3kuiW