1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vita dhidi ya ndoa za utotoni Malawi

Lilian Mtono
30 Oktoba 2017

Fikiria, kuolewa katika umri mdogo wa miaka 12 ama 13? inashangaza! Lakini si Malawi ambayo imeendeleza utamaduni huo. Hivi sasa wanawake kama Enala Ngulu Gondwe wanapigana kuondolewa kwa ndoa hizo. aliolewa akiwa na miaka 13. Leo, ana miaka 39 na ameamua kupambana na ndoa za utotoni nchini mwake.

https://p.dw.com/p/2mk8j