1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fedha za kuijenga tena Syria zinahitaji muafaka wa kisiasa

Yusra Buwayhid
15 Februari 2019

Mkutano wa siku tatu juu ya masuala ya usalama unaofanyika mjini Munich, Ujerumani umefunguliwa leo na Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Ursula von der Leyen asema mabilioni ya fedha yanayohitajika kuijenga tena Syria yatatolewa kutakapopatikana muafaka wa kisiasa nchini humo.

https://p.dw.com/p/3DTbA