1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vurugu Zanzibar kutoweka kwa Sheikh Farid

18 Oktoba 2012

Huko visiwani Zanzibar askari polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia cha FFU aliuwawa kwa kupigwa mapanga na kukatwa kichwa kufuatia vurugu zilizotokea visiwani humo jana mchana na kuendelea hadi leo.

https://p.dw.com/p/16Rru
Ghasia Zanzibar
Ghasia ZanzibarPicha: AP

Hali si shwari visiwani Zanzibar, bado vijana wameapa kufanya fujo hadi pale sheikh Farid atakapopatikana. Amina Abubakar amezungumza na Mwandishi Wetu Salma Said na mwanzo anatufahamisha hali halisi ya mambo huko.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi Amina Abubakar

Mhariri Josephat Charo