1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyama vyasaini makubaliano ya serikali Ujerumani

Iddi Ssessanga
12 Machi 2018

Karibu miezi sita baada ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini Ujerumani, viongozi wa vyama vya muungano wa kihafidhina vya CDU na CSU pamoja na chama cha Kisoshalisti cha SPD wametia saini mkataba wa serikali ya muungano wenye kurasa 177.

https://p.dw.com/p/2uCOs