1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyombo vya Mawasiliano na Habari – Kipindi1 – Nani atapiga muziki?

11 Novemba 2010

Katika mfululizo huu tunaangazia vyombo vya mawasiliano na habari,Wahusika wetu wakuu: Young Juniour mwenye ndoto za kuwa na gazeti; Sister P kuendesha vipindi katika TV, Charlie,kuwa DJ maarufu na Ezra kuwa mtangazaji

https://p.dw.com/p/Q2eE