Waafrika wanavyofuatilia uchaguzi wa Umoja wa Ulaya

Sasa moja kwa moja
dakika (0)
Kampeni za uchaguzi wa Umoja wa Ulaya zimeshika kasi. Wapiga kura katika nchi wanachama wa umoja huo watateremka vituoni Mei 23-26, kulichagua bunge jipya. DW imezungumza na Mohamed Saleh, mkaazi wa mjini Paris, Ufaransa kutaka kujua hali jumla kuelekea uchaguzi huo na jinsi wakaazi wasio na asili ya Ufaransa hususan kutoka Afrika wanavyoufuatilia.

Tufuatilie