1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wafahamu baadhi ya watangazaji wakongwe Kenya

Shisia Wassilwa1 Novemba 2018

Sauti zao zilirindima na kuwavutia wasikilizaji wengi miongo kadhaa iliyopita. Na hata leo, sauti zao bado zinasikika kwa utamu unaoweza kumtoa nyoka pangoni. Katika mfululizo wa makala Bado Tupo, Shisia Wasilwa anaangazia baadhi ya watangazaji habari wakongwe kutoka Kenya. Je dhima yao imetambuliwa na jamii?

https://p.dw.com/p/37VTm