1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahanga wa bwawa lililopasuka kenya wasaidiwa na EU

Saumu Mwasimba
14 Mei 2018

Umoja wa Ulaya watoa yuro millioni 1.5 kuwasaidia wahanga walioathirika kufuatia kupasuka kwa bwawa jijini Nairobi kutokana na mvua kubwa zinazonyesha katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Fedha za Umoja wa Ulaya zimenuiwa kununua mahitaji ya dharura ya kuzisaidia familia za wahanga.Watu 45 wamepoteza maisha kufuatia kupasuka bwana hilo.

https://p.dw.com/p/2xh16